MHESHIMIWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDENANAYO FURAHA KUWAALIKA WATANZANIA WOTE KWENYE FUTARI, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 20.8.2011 SAA MBILI ZA JIONI(20.00HRS)

MAHALI:  VEDETVĂ„GEN35
(NYUMBANI KWA BALOZI) 
NÄSBY ALLE.

TAFADHALI WAFIKISHIE TAARIFA HIZI NA WENGINE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Dah kwa sisi wakenya ambao tumezowea kuzamia kwenye futari za matz naona safari hii mualiko hautuhusu manake balozi anawaalika matz wenzake sijui tutaulizwa na passport huko ama itakuwa namna gani?

    KAZEE WA STOCKHOLM

    ReplyDelete
  2. the adress is too vague to undrstand

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...