Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai, akifurahia jambo alipotembelea Banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni Mkoani Dodoma jioni ya leo. Maonesho hayo yanafikia kilele kesho. Picha na mdau Hamisi Kandege (TBA)
Home
Unlabelled
Naibu spika atembelea banda la Wakala wa Majengo Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Huyu Mheshimiwa Ndugai namzimika sana. Yuko very simple, hana makuu, na ni mtu wa watu. Big up to him.
ReplyDelete