Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai, akifurahia jambo alipotembelea Banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika maonesho ya Nane Nane yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni Mkoani Dodoma jioni ya leo. Maonesho hayo yanafikia kilele kesho. Picha na mdau Hamisi Kandege (TBA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyu Mheshimiwa Ndugai namzimika sana. Yuko very simple, hana makuu, na ni mtu wa watu. Big up to him.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...