Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ahsante ancle.Mi ushauri wangu kwa serikali yetu ifanye kuwasurprize watu tu kwani stotry zinachosha tunataka performance please.hatuhitaji mbwembwe za kulemba mikakati.

    mdau diaspora

    ReplyDelete
  2. michuzi umeogopa kumuuliza mheshimiwa kwamba yale mabanda kama ya kufugia kuku pale uwanja wa ndege wa mwanza nayo ni ya kimataifa?

    ReplyDelete
  3. Michuzi, mwambie huyo waziri atupe hotline yake au email yake sis watumiaji wa bandari tumpatie vikwazo viko wapi aili avifanyie kazi. hata wakifanya kazi 24 hrs bado kuna ukiritimba.

    ReplyDelete
  4. Wangeacha hata mizigo ikae miezi kadhaa ila akawapa discipline kwanza wafanyakazi wa TRA kwa ukiritimba na rushwa kwani kasi pia inaweza fanya hali ikawa mbaya zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...