Home
Unlabelled
naibu waziri wa uchukuzi dkt athumani mfutakamba aelezea mikakati ya kuongeza kasi ya upakuaji mizigo bandarini dar na uwanja wa ndege mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahsante ancle.Mi ushauri wangu kwa serikali yetu ifanye kuwasurprize watu tu kwani stotry zinachosha tunataka performance please.hatuhitaji mbwembwe za kulemba mikakati.
ReplyDeletemdau diaspora
michuzi umeogopa kumuuliza mheshimiwa kwamba yale mabanda kama ya kufugia kuku pale uwanja wa ndege wa mwanza nayo ni ya kimataifa?
ReplyDeleteMichuzi, mwambie huyo waziri atupe hotline yake au email yake sis watumiaji wa bandari tumpatie vikwazo viko wapi aili avifanyie kazi. hata wakifanya kazi 24 hrs bado kuna ukiritimba.
ReplyDeleteWangeacha hata mizigo ikae miezi kadhaa ila akawapa discipline kwanza wafanyakazi wa TRA kwa ukiritimba na rushwa kwani kasi pia inaweza fanya hali ikawa mbaya zaidi.
ReplyDelete