KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (wapili kulia) akikata keki maalum iliyoandaliwa katika sherehe ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne ambao ni wanachama wa Jumuia ya wanafunzi wakatoliki Tanzania (TYCS) Kanda ya Kimala, kuchangisha fedha za kuimarisha jumuia hiyo, leo Kimara, Dar es Salaam. Kulia ni Mlezi wa TYCS Kimala, Padri Athanas Zengo na Watatu kulia ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi Kinondonbu, Stanley Mkandawile. Jumla ya sh. 500,000 zilichangwa kabla ya Nape kuondoka.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimlisha keki mweka hazina wa Jumuia ya Wanafuzni Wakatoliki Tanzania (TYCC) Kanda ya Kimala, Jenifa Gervas katika sherehe ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne ambao ni wanachama wa TYCS katika kata hiyo, iliyofanyika Kimara leo. Kulia ni Mlezi wa TYCS Kimala P{adri Athanas Zengo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimkabidhi cheti Sophia Mkandawile katika sherehe ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne ambao ni wanachama wa Jumuia ya Wanafuzni wa Katoliki Tanzania (TYCS) Kanda ya Kimala, Dar es Salaam,eo, Kulia ni Mlezi wa TYCS Kimala P{adri Athanas Zengo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...