Asalamaleku Ankal,
Jana nilipata bahati ya kutembelea kiota kipya cha michezo cha Azam Fc maeneo ya Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kuangalia timu za Toto Africa na African Lyon wakipepetana. Hatua waliyofikia Azam ni darasa tosha kwa Simba na Yanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwa hapo namsifu sana Bakhressa. Tungepata matajiri wa Kitanzania wenye kujali maendeleo kama yeye tungekuwa mbali sana.

    ReplyDelete
  2. nawapongeza sana hawa watu yaani wanastahili pongezi acha simba na yanga waendelee kugombania pesa za mlangoni uwanja wa taifa na siyo kufanya maendeleo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...