Habari kutoka ukweni Kampala, Uganda, zinatahanabisha kwamba mwanamuziki maarufu wa Uganda, Jose Chameleon, amesilimu dini kutoka ukristo wa madhehebu ya Kikatoliki na kuwa Mwislamu katika hafla iliyofanyika leo mchana msikiti wa Kibuli jijini Kampala. Mwanamuziki huyo (pichani juu kushoto baada ya kutiwa maji wakati wa Swala ya Ijumaa) sasa amebadili jina na kujiita Gaddafi Chameleon, kwa mujibu wa gazeti la udaku la nchini humo la Red Pepper.
Kwa picha zaidi na stori kamili
Mashallah mwenyezi mungu akujaalie imani na kuwa mfano mzuri kwa wengine.Alhamdulillah
ReplyDeleteWahuu Mabrouq Ghadaffi Chameleon!Insha'Allah Mwenyezi Mungu akuongoze kama alivyokuongoa bado uko kijana famous ukaikubali Dini ya Haki kiwazi wazi!Endelea kuwasaidia kina Jamillah watulie katila Ndoa zao!Ramadhan Maqbour
ReplyDeleteAhlam UU!!!!
Takbir!!!
ReplyDeleteNdiyo nusura imekuja na watu wanaiingia dini ya kweli.
Vitu vya kutarajia ni kwamba watu hawatakukubali na utaona kuwa utapoteza marafiki na wateja, hii imekuwepo tangu kwa akina Nuhu hadi kwa Muhammad (SAW).
Kwani Gaddaffi ndiye muislamu safi?
ReplyDeletekijana kachanganyikiwa,mambo ya yaliyomkuta michael jackson,jamani dini ni kumwamini mwenyezi mungu,sio tu ukristo tu au uislaam
ReplyDelete"Chameleon!!!!!" Sifa za kinyonga ni???????????????????????
ReplyDeleteKubadili dini sawa, jina tu ndilo limenikwaza! Tuseme amekuwa muislam au amekuwa Gaddafi? Kinachomvutia ni dini au personality ya Gaddafi? Nampongeza ila namnasihi ashike dini yake mpya aachane na mambo ya Gaddafi!
ReplyDeleteHata hilo jina poa tu, mbona kuna wakristo wamejiita Winston Churchill, William Wilberforce, Bill Clinton etc? Namkumbuka mchezaji maarufu wa Kenya miaka ya 1980's akiitwa Wilberforce Mulamba. Na nilishaona watu wanabatiza watoto wao kanisani kwa majina ya Diana, Madonna, Tyson na mengine. Ndiyo ulimbukeni uliotupata waafrika.
ReplyDelete....Celebrate the praises of your Lord
ReplyDeleteand pray for His forgiveness:for He is
Oft-Returning(in grace and mercy)
Quraan 110
Check it out
Wakatabahu
Uyu kweli ni msanii! Masheikh na walimu wa dini mnisaidie Quaran inasemaje kuhusu mwanaume kusuka nywele?
ReplyDeleteKaribu sana katika dini yenye kumwamini na kumwabudu Mungu mmoja tu Aliyeumba kila kitu na mwenye uwezo juu ya kila kitu.
ReplyDeletesafi chamelion kwa kujua wajibu na kuingia din ya ukweli....nyie mnahoji why kajiita gaddafi ni jina tu hilo mboan nyie mnajiita bill cliton au william acheni ulimbukeni nyie
ReplyDeleteMDAU NORWAY
MIMI PIA NAUPENDA UISILAMU TATIZO NAOGOPA FAMILIA NA JAMII KARIBU YA MIMI ITANITENGA NINFANYEJE WADAU MSAADA KWENYE TUTA
ReplyDeletedini za uongo ni zipi? toeni kashfa zenu mpeni hongera zake ati dini ya ukweli, ni binadamu gani alienda mbinguni kuongea na Mungu ni dini ipi iko sahihi?
ReplyDeleteKaribu ktk uislamu ila tu hatutaki hizo rasta zako,uende ukanyoe haraka,uislamu hauruhusu kusuka rasta kamwe.Usipotoa tutakusilimisha kwa lazima.
ReplyDeleteIslam is defined around the Holy Quraan and teachings and examples of what the Prophet did and said. Hivyo basi nawaomba hao wanaokerewa na usukaji wa nywele wanipe aya na sura inayokataza kusuka nywele.Waswahili wasema ni kipenda roho kama vile kusuka au kunyoa,mie ningesuka nywele mzee wangu angenicheka tu na pengine angeniambia...you look like Asha.
ReplyDeleteJAMANI KWANZA TUMPONGEZE KWA HATUA KUBWA ALIYOICHUKUA NA SIO KUHUSU JINA AU KUSUKA NYWELE HAYO YATAKUJA BAADAE KILA ATAKAPO JIFUNZA DINI NA MAAMRISHO YAKE.KUNA WAISILAMU WANGAPI WANAOSUKA NYWELE NA HATA KUFUNGA HAWAFUNGI ITAKUWA HUYU AMBAE NDIO KWANZA KAIKUBALI DINI YA HAKI?
ReplyDeleteANOY 13:0214:00
KAMA UMEIPENDA NA UNAAMINI UISILAMU NDIO DINI YA HAKI BASI HILO TU NDIO MUHIMU KWANI WAKO WALIO SILIMU NA BAADAE WAKAWASHAWISHI FAMILIA ZAO NA KUWASILIMISHA.KIKUBWA ZAIDI NI KUMUAMINI MUNGU NA KUMUOGOPA MUNGU NA NDIO ITAKUFANYA UWE NA BIDII YA KUWASHAWISHI FAMILIA YAKO NA KUWAELEZA NA KUWAONYESHA HOTUBA ZINAZO ZUNGUMZIA UISILAMU NA DINI TOFAUTI KAMA UPO KTK UKRISTO ZIPO NYINGI AMBAZO ZINAONYESHA TOFAUTI YAKE NA VITABU MBALI MBALI VYA KUJISOMEA MPAKA NA WAO WATAUJUA UKWELI ULIPO.NAKUTAKIA KILA LA KHERI KTK UAMUZI WAKO SAHIHI.
huyo kachanganyikiwa kama zinga mpeni pole soon atatafuta msosi jalalani
ReplyDeleteMDAU WA NORWAY PLEASE NAOMBA KUKUFAHAMU MAANA NA MIMI NIPO NORWAY NA HUWA NATUMIA MDAU NORWAY NINAPOCOMMENT KWENYE BLOG ZETU HIZI.NITAFUTE KWA NO HII 96724552. UKINICHEKI NA SIMU YA NORWAY HATA KWA MESSAGE TUTAWASILIANA ZAIDI.
ReplyDeletevery controversial. Religion....? I'm not judging anyone. But how do we know whether we are suppose to stick with our religion.... or just do good to one another and to the world, dont be judgemental that way we can love one another and make the world a better place.
ReplyDeleteOne thing I know God accept you the way you are. Human being looks from the outward(rasta) but God looks us from inside. We are justfied by faith not bye works.
ReplyDeleteNobody is perfect, nobody will ever be in this follen world. Judgement in God's works not ours.
Thanks.
Nani anajua dini ya ukweli na ya uwongo bwanaa wote tumezaliwa tumekuta dini hizi tukaaminishwa tukafuata baada ya kufika 18 kujua mema na mabaya ndipo tunapoamini na kuona yanayotutokea yanatufariji na imani tulio nayo ndio tunaona ukweli hapo msilete za kuleta hapa na dini ya kweli na uwongo.......Mungu pekee ataahukumu kuchagua nani mkweli wote hapa tunaamini tuu...it's all about what u believe and that's it.
ReplyDeleteMasha-Allah! Mwanzo mzuri. Hongera sana Jose Chameleon. Mwenyezi Mungu akuongoze daima.
ReplyDeleteAnonymous hapo juu dini ya Islam imekataza wanaume kujiweka mapambo ya kike,k.m vito vya gold,silver etc, cheni, bracelet vitu kama hivyo vyote ni HARAM.
ReplyDeleteThanx.