Angalizo: Wapenzi na wanachama wote wa Bwawa la Maini mnakumbushwa kukata/kulipia kadi zenu za uanachama wa klabu yetu pendwa, tayari kuipa sapoti msimu unaoanza kesho ambapo tunakipiga na Sunderland. Ankal keshafanya hivyo na yuko tayari kusaidia wengine wataokwama. Wasiliana naye haraka kwa kupitia email yake ya issamichuzi@gmail.com
YOU'LL NEVER WALK ALONE!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...