Juu maafisa wa kumkamata teksi bubu jijini Dar es salaam wakiwa wameyazingira magari yaliyopaki nje ya jengo la Empress mtaa wa Samora Avenu wakiyatuhumu kuwa yanafanya msanyo, zoezi ambalo lilipingwa vikali na madereva wa magari hayo na wananchi kiasi operesheni ikashindikana leo 
Maafisa wa kukamata teksi bubu jijini Dar es salaam na askari polisi wakikwama kukamata gari walilolituhumu kuwa teksi bubu likiwa limepaki nje ya jengo la empress Mtaa wa Samora Avenu leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Badala mkammate mafisadi mnakamata taxi bubu hivi mna akili nyie kweli?????????? nchi imejaa ufisadi mpaka inapitiliza,maisha magumu kila siku hili mara lie alafu mnaenda kukamata taxi fikirien nyieee

    ReplyDelete
  2. Dereva wa taksi bubu anakamatwa kwa bunduki!!

    ReplyDelete
  3. Si mwende airport mkakamate wanyamapori wanosafirishwa kiholela wanotia hasara ya mamilioni kwa serikali yenu.
    Si mwende mkawakamate viongozi wanaojilimbikizia mali isiyo na maelezo wapi imepatikana.
    Si mwende mkawakamate wanao saini mikataba ya ulaghai isyo na faida kwa wananchi wake.
    Si mwnde kuwakamata wanaouziana majumba ya serikali kwa bei ya kutupa.
    si mwende kuwakamata wakuu wa wizara wanaochangisha mamilioni ya mapesa kuhonga wabunge kupitishiwa bajeti zisizokuwa na faida.
    Si mwende kuwakamata wanaolipwa mapesa kupitisha bajeti uchwara zinazoangamiza taifa.
    Tunataka polisi wa kweli na sio kukamata tu watu wadogo wenye makosa madogo ambayo madhara yake si ya kitaifa,ni kuwapatia elimu ya wao kuwa na moyo wa kulipa kodi na kufuata utaratibu.
    Kazi ipo kubwa kwenye majeshi yetu kupambana na mengi yanayo rudisha nyuma maendeleo ya mtanzania.

    ReplyDelete
  4. Mie naiomba serikali ibadili system ya kurecruit hawa mapolisi! Sifa kuu ya kujoin na jeshi la polisi Tanzania uwe umefel shule pengne umeiba au umerithi cheti,kingne uwe na nguvu nyingi hata kama akili ni kidogo! Je WADAI KWA SIFA HIZI TUNATEGEMEA KUWA NA MAPOLISI WENYE UTASHI? I dont think it to happen

    ReplyDelete
  5. Mna wazimu, teksi bubu...wakati mnaachia bilions zinapotea kenge wakubwa nyie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...