Juu maafisa wa kumkamata teksi bubu jijini Dar es salaam wakiwa wameyazingira magari yaliyopaki nje ya jengo la Empress mtaa wa Samora Avenu wakiyatuhumu kuwa yanafanya msanyo, zoezi ambalo lilipingwa vikali na madereva wa magari hayo na wananchi kiasi operesheni ikashindikana leo
Maafisa wa kukamata teksi bubu jijini Dar es salaam na askari polisi wakikwama kukamata gari walilolituhumu kuwa teksi bubu likiwa limepaki nje ya jengo la empress Mtaa wa Samora Avenu leo.




Badala mkammate mafisadi mnakamata taxi bubu hivi mna akili nyie kweli?????????? nchi imejaa ufisadi mpaka inapitiliza,maisha magumu kila siku hili mara lie alafu mnaenda kukamata taxi fikirien nyieee
ReplyDeleteDereva wa taksi bubu anakamatwa kwa bunduki!!
ReplyDeleteSi mwende airport mkakamate wanyamapori wanosafirishwa kiholela wanotia hasara ya mamilioni kwa serikali yenu.
ReplyDeleteSi mwende mkawakamate viongozi wanaojilimbikizia mali isiyo na maelezo wapi imepatikana.
Si mwende mkawakamate wanao saini mikataba ya ulaghai isyo na faida kwa wananchi wake.
Si mwnde kuwakamata wanaouziana majumba ya serikali kwa bei ya kutupa.
si mwende kuwakamata wakuu wa wizara wanaochangisha mamilioni ya mapesa kuhonga wabunge kupitishiwa bajeti zisizokuwa na faida.
Si mwende kuwakamata wanaolipwa mapesa kupitisha bajeti uchwara zinazoangamiza taifa.
Tunataka polisi wa kweli na sio kukamata tu watu wadogo wenye makosa madogo ambayo madhara yake si ya kitaifa,ni kuwapatia elimu ya wao kuwa na moyo wa kulipa kodi na kufuata utaratibu.
Kazi ipo kubwa kwenye majeshi yetu kupambana na mengi yanayo rudisha nyuma maendeleo ya mtanzania.
Mie naiomba serikali ibadili system ya kurecruit hawa mapolisi! Sifa kuu ya kujoin na jeshi la polisi Tanzania uwe umefel shule pengne umeiba au umerithi cheti,kingne uwe na nguvu nyingi hata kama akili ni kidogo! Je WADAI KWA SIFA HIZI TUNATEGEMEA KUWA NA MAPOLISI WENYE UTASHI? I dont think it to happen
ReplyDeleteMna wazimu, teksi bubu...wakati mnaachia bilions zinapotea kenge wakubwa nyie
ReplyDelete