![]() |
Je umekuwa ukisumbuliwa na matatizo ya afya bila kujua wapi pa kuuliza? je umekuwa na mada ambazo ungependa kugawana na Watanzania wenzako bila kujua jukwaa la kuzimwaga? Pia, je umekuwa ukitafuta wapi pa kupata taarifa juu ya maduka ya dawa,mahospitali nk? TanzMED tumekusikia. Timu nzima ya TanzMED inakuletea Forum ya Afya ambayo itawawezesha wanajamii kujadiliana masuala mbalimbali ya Afya. TanzMED Forums ni sehemu pekee ambayo inawakutanisha wanajamii na madaktari wa kitanzania,hivyo ule wigo haupo tena. Unasubiri nini? Jisajiri na kuanza kufurahia ujio wa TanzMED Forumsndani ya TanzMED.com |
TanzmED Forums - Afya njema ni haki yako |
Home
Unlabelled
Pata ufafanuzi wa matatizo ya Afya,tembelea TanzMED Forums
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.jpg)
Hii imekaaje? mbona haieleweki?
ReplyDeleteJISAJIRI ndio lugha gani jamani. Tunashindwa na wakenya kwa fasaha ya lugha ya kiswahili. Waandishi wetu wa habari are the worst, tena wala hawajali kila siku wanazungumzia leli. Tuache kuzungumza lugha zetu za kienyeji katika mtandao.
ReplyDelete