Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha  Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro. PICHA NA RAMADHAN OTHMAN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kwa nini viongozi wengi wa Zanzibar ni Madoctor? Dr.Salmin,Dr.Omar,Dr.Bilal,Dr.Shein,Dr Muchi,Dr sijui nani? anyway Huyu Raisi ni mpole sana na aendelee kuwepo miaka yote licha ya kuwa ni CCM.

    ReplyDelete
  2. Kwa sababu ni wasomi! Wameupata kwa kuichimbia kusoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...