Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikamata ndizi aina ya Fia ambayo inatoa mazao kwa muda wa miezi Tisa na asili yake Mkoa wa Mbeya, katika maonesho ya mazao ya kilimo, nane nane huko Dodoma leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubi wananchi katika kilele cha sherehe za wakulima nane nane huko Dodoma leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo alipotembelea sehemu mbali mbali katika maonesho ya kilimo nane nane huko Dodoma leo.Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubia wananchi hao katika kilele cha sherehe za wakulima nane nane huko Dodoma leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...