Meneja wa kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akizungumza na warembo watakaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania wakati alipowatembelea katika hoteli ya Girrafe Ocean View,Kunduchi jijini Dar es salaam leo.kulia ni Mshauri Nasaha kwa warembo hao,Sussane Mrema na kulia ni Afisa Habari wa Miss Tanzania,Idan Ricco.
Mshauri Nasaha,Bi. Sussane Mrema au Bi. Suzie akitoa ushauri nasaha kwa warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakati Meneja wa Redd's Original alipokuwa akizungumza na warembo hao leo kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View,Kunduchi jijini Dar.
Meneja wa kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akiwakabidhi zawadi ya mashati ya Redd's baadhi ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania leo kwenye hoteli ya Girrafe Ocean View,Kunduchi jijini Dar.
Warembo watakaoshiriki kinyang'anyiro cha Miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...