At  the  moment  Tottenham  is  a No  go  area as 40 people have been arrested after rioting saw police attacked, buildings looted and vehicles set alight in Tottenham, north London.Also  approxmately 26 police officers and three others were hurt in the violence which erupted after a protest over the fatal shooting by police of a  Black  man  Mark Duggan on Thursday. 

Tottenham  is  also  the   home  of   about  30 % of  Tanzanians  in  the Diaspoara. At  the  moment  there  are  no  reports  of   any  Tanzanian  caught  up  in the  riots. I  visited  the  the  make  shift  center  at  a  leisure  center  which is now temporary  home for  those  made  home less by  the  riots   and  no  Tanzanians  were  victims.
Journalist Ayoub Mzee at the scene

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. bongo watu wanauliwa na polisi afu raia wanakaa kimya.ulaya kauliwa mtu mmoja tu na polisi maafa yake ndo hayo!!sasa kati ya ulaya na bongo wapi kuna democracy?bongo ukifanya maandamano ffu wanapiga hata wasio na hatia!!!huku polisi ndo wameumizwa maana hawaruhusiwi kupiga watu kama ffu wa bongo!!!

    David-manchester

    ReplyDelete
  2. Anon wa kwanza, sasa kama ughaibuni kwenye demokrasia askari anauwa mtu mmoja mwenye rangi nyeusi, je Uswazi utategemea askari aue wangapi? Je kwanini hao waandamanaji wasisubiri sheria kuchukua mkondo wake? Ughaibuni na TZ ni sawa tu, tena huko ndio kubaya zaidi maana wanaangalia rangi kwanza!!

    ReplyDelete
  3. Si kweli kwamba 30 percent ya tanzananians Diaspora ina ishi Totenham. Aliye present habari hizi nadhani kalamu yake imeteleza. Labda kama alitaka kuamanisha 3 percent, hata hiyo I doubt. Hakuna sehemu yoyote ya mji wowote hapa UK utakuta wa Tanzania sehemu moja wanazidi 10 percet ya TZ Diaspora

    ReplyDelete
  4. Nadhani mtoa habari alikuwa anaamanisha 30 percent ya African/Jamaicans Diaspora. Weusi wengi wanaoishi Totenham wanatoka congo, uganda na Jamaica

    ReplyDelete
  5. Nafikiri Bongo kuna demokrasia zaidi kwani askari wanaua watu wengi hapa mmoja imekuwa ishu. Wewe anoni ulitegemea auwawe mzungu hata kama kwenye maandamano hakuna mzungu!Nataka kuku kumbusha Westminister askari alimsukuma mtu mmoja lakini mzungu yule mtu akatembea hatua chache akafa yule askari amefungwa. Wewe anoni ndiyo mbaguzi wa rangi kuliko Wazungu

    ReplyDelete
  6. hapo huyo alieuliwa anasadikiwa kuwa gangstar.na bado uchunguzi unafanyika so hicho kifo kime-make headline karibia dunia nzima!!sasa wale waliouawa na zombe kipindi flani hivi walikuwa 5 mbona mpaka leo hakuna kitu!!Bongo watu wenye hela na vyeo ndo wanafaidi nchi!!namaanisha kuna gap kubwa sana kati ya maskini na tajiri!!
    ulaya denocracy ndo inatawala!!!
    bongo maskini hana sauti!!we unadhani ingekuwa bongo hayo maandamano wangeuliwa wangapi na polisi kama arusha?afu bado mnasema mna democrancy?hamna lolote ni nidhamu ya uoga tu!!
    David-manchester!

    ReplyDelete
  7. Anon wa 12.32am huyo mtu ayesukumwa akafa angekuwa mweusi unafikiri huyo ayemsukuma angefungwa? Hayajawakuta wabongo mambo ya ughaibuni ndio maana wanafanya maunuso kila leo subiri yawakute ndio watapoijua ughaibuni. Kuna watu madaktari sasa wanatibia jela wengine wamefungiwa kutibu. Kuna maprofesa wamefanyakazi miaka kibao hata head wa idara hawajafika. Muulize yule serengetifreight mbona haweki matangazo kwenye magazeti ya ughaibuni akatafuta wateja? Wateja wao wate ni wabongo na wafrika wengine.

    ReplyDelete
  8. Mutaishia kubishana hivyo hivyo, miaka nenda miaka rudi. Wenzenu wanapendana na wanajaliana na kutendeana haki. Nyinyi munaendelea kuchagua viongozi wabovu wasiowajali, wala kujali masilahi ya nchi yenu. Kila siku mutabeba pasipoti mikononi kujalibu kwenda ulaya, kuwania utumwa. KALAGA BAHO!

    ReplyDelete
  9. sasa aweke matangazo kwenye magazeti ya ugaibuni wanasafirisha ni wabongo au wazungu?mbona vitu vingine mnaasume?uk kila mtu ana haki kwa taarifa yako!!labda kama visa yako imeexpire!!masuala ya kupandishwa vyeo hapo sawa maana huku sii kwetu.hata bongo watu wanalogana kwa ajili ya cheo!!watoto wa vigogo ndo wanapewa vyeo tu wakati mtu kakaa ofisini tokea miaka ya sabini lakini yuko vile vile

    ReplyDelete
  10. Wazungu ni ma"racists" wakubwa. Zaidi ya 30% ya watu wanaouliwa na polisi UK ni watu weusi. Zaidi ya 73% ya watu wanaouliwa na polisi USA ni weusi. So guys get your facts straight kabla hamjaanza kusifia so-called democracy ya kifashisti na kibaguzi. Watu weusi wamefanya vurugu kwa kuwa polisi wanawanyanyasa kishenzi ("colour profiling").

    ReplyDelete
  11. Nyinyi malimbukeni ambao hamjawahi kuishi ughaibuni wacheni upumbavu wa kuwasifia mapolisi makaburu! Sisi tulioishi sana USA tunatambua fika kuwa robo tatu ta watu wanaouliwa na polisi bila sababu ni blacks wakati blacks ni asilimia 12 tu ya population ya USA.

    ReplyDelete
  12. JAMANI HABARI ZENU WOTE MLIOTOA MAONI YENU.

    NAOMBA NA MIE NITOWE YANGU, NINACHOTAKA KUSEMA MIMI NINAISHI UGAIBUNI NA FAMILY YANGU KTK MAISHA YANGU SITEGEMEI KURUDISHA WANGANGU KUISHI BONGO HATA KAMA NIKIFA MAANA NAJUWA WATANYANYASIKA TU. NIKHERI WABAGULIWE KWA RANGI YAO KTK NCHI ISIYOKUWA YA ASILI YAO KULIKO KUSIMANGIWA KWAO.

    SIKATAI KWETU ILA UONGOZI WETU ULISHANIVUNJA NGUVU TOKEA HAYATI HOLLAS KOLIMBA AFARIKI. KWANI BONGO HATA UKASOMA NA UKAWA NA ELIMU YAKO INABIDI UKAE KIMYA USITOE MAONI YA KUOKOA JAMII. HII TABIA YA TAIFA LETU KUENDELEA KUNYONYA WANANCHI BORA NIISIKIE TU KWENYE VYOMBO VYA HABARI KIZAZI CHANGU NG'O. LABDA KAMA MTAKIUWA CHOTE KIZAZI CHA MAFISADI NITARUDI BILA HIVYO NO WAY.

    BORA NIENDELEE KUWA MTUMWA MWENYE aMANI MOYONI KULIKO KUSIMANGIWA ARDHI YA MABABU ZANGU ITAFIKIA WAKATI NITACHOKA HALAFU IWE BALAA

    TIZAMA BABU SEYA NA MWANAE NI KOSA GANI LA KUMFUNGA MTU MAISHA ILI HALI MAFISADI HAWAFUNGWI. ROHO YANGU INAUMIA SANA NIKISIKIA NENO UFISADI NAISHIA HAPA.

    ReplyDelete
  13. This mornings papers say hundreds arrested
    This is UKerewe's ARAB SPRING
    But do they have a Mubarak or Ghadafi of their own?
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  14. ukweli ulio wazi bongo hata ukiwa na cv za kufa mtu vyeo wanapeana bora..tunatamani sana kurudi bongo ila jinsi siku zinavyosonga mtu unaona bora ubaki huku ughaibuni cos bongo ni mauzauza tu...haki hakuna,maskini hana sauti,watoto wauswazi no future;ukabila na udin maofisin vinatisha bongo ni home ila sirudi kamwe...
    MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  15. Hata Ughaibuni ukisema kweli watakufanyishia wanaita "Back Stabbing". Weusi wakisema kweli wanaulizwa walifika vipi huko UK. Ukiwa mweusi unatakakiwa kusema na kutoa mawazo wanayoyataka wazungu kusikia. Kwa tarifa zenu ni kuwa risasi anayodaiwa kupigwa na huyo aliyeuwawa imetolewa na polisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...