Kikosi cha Simba miaka hiyooo...Mwenye data msaada kwenye tutazzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. huyo captain ni Haidar Abeid Muchacho anayepeena nae mkono ni Abdallah King Kibaden,anayefuatia ni Mohamed Kajole(Machela) Anayufutia ni Chogo Chemba(Mohamed Othuman)

    ReplyDelete
  2. Anayetambulisha ni Heidary Abeid na nyuma yake ni Mohamed Bakari Tall

    ReplyDelete
  3. Adam Sabu, Sekulu, Kibadeni,Kajole,Chogo Chemba,Abbas Dilunga,Mwaijibe,(pass), Alloo ally, Hamisi Askari na Kapteni Haidari Muchacho

    ReplyDelete
  4. Captain Haidary abeid,anayepeana naye mkono ni king kibaden,anafuatia mohamed kajole,omar chogo,abas dilunga(sungura),willy Mwaijibe,aliegeuka simkumbuki wa mwisho Aloo mwitu! huyo mwenye Tack suit kama sikosei Herman Kiseka(mzee wa bench)

    ReplyDelete
  5. Hapo hamna cha Mohamed Tall or aluu Ally hao wote walikuwa makinda kipindi hichi....Anaetambulisha ni Haidary Abaeid Muchacho, Anaepeana mkono ni Abdallah King Kibaden,Mohamed Kajole Machela,Omary Chogo,Abbas Dilunga,Willy Mwaijibe,Arthur Mwambeta na wengine siwajui...hio ilikuwa Nyamagana Mwanza Simba ililala 2 - 1 kwa Yanga.si unaona wachezaji wetu wa zamani walivyoshiba????Abbas Dilunga mfupi lakini ameshiba hasa,hapa hakuna chips mayao heheehehe,..linganisha na akina Mrisho Ngassa na nsajigwa ni kichekesho kwikwikwi,
    Mdau wa UK.

    ReplyDelete
  6. Mtambulishaji Haidari Abed aliyemshika mkono King Kibaden, kabla yake Adam Sekulu, wanaofiata Chogo, Dilunga, Willy Mwaijibe, Athuman Juma, Aloo Mwitu na Askar

    ReplyDelete
  7. Katika posting ya awli nilimruka Mohamed Kajole kabla ya Chogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...