Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Duh, hii kali mpaka majuu Tanesco inajulikana?

    ReplyDelete
  2. Ha ha haaa afadhali kaomba umeme usikatwe usiku jamani na joto lote watu wanaumia sana havilaliki...

    ReplyDelete
  3. I dont know ni nani aleyeorganize hii whoever kama ni Kajumulo au Mashaka wanahitaji kupongezwa,nyimbo imetulia and wonderfull enough is the songs rythm comprised maainly by guitar.
    Thanks mdau USA

    ReplyDelete
  4. Kaka mzushi tu huyo asitubondee wala nini.

    Kwani kwao ULAYA hakuna matatizo ya aina nyingine, hata kama sio umeme, ambayo na sisi huku hatunayo?

    Asilete za kuleta hapa.

    Ingawa kanavutia! Hebu naomba kontakti zake kwanza.

    ReplyDelete
  5. sasa hapo ndo ujue kwamba ata wenzetu wanajua matatizo yaliyopo hasa ili la umeme wakati tuna mito,gesi,upepo na vyanzo vingine kibao.
    nazani ata mungu anatushangaa aisee,hisponyesha mvua mgao wa umeme na njaa inataka kutuua.mvua ikinyesha mafuriko,njia hazipitiki na umeme bado tatizo....jamani si ata mungu anatushangaa jamani?
    anyway ngoja tusubiri labda miujiza itatokea lakini tuangalie tusije choka watanzania maana itakua balaa na hatutaki yatokee hayo yote.
    mungu tubariki watanzania TUSICHOKE.....

    ReplyDelete
  6. haka kademu kananipenda kweli hadi kananiimba kwa kuilaumu tanesco! aisee msikate umeme nyie, mshasikia ishu hivo.

    Ni mimi, mpenzi wake.

    ReplyDelete
  7. Jamani songi kali. Ingekuwa vyema kama huu wimbo ungelitumiwa kama baground music ndani ya ofisi zao pamoja na Wishara ya nishati na Madini.Wadau mnaonaje?

    ReplyDelete
  8. umeme unahitajika muda wote na sio usiku pekee.Kuna kazi nyingi tu za maendeleo ya nchi zinazohitaji kufanyika mchana.Kwa mtaji huu unaoendelea Bongo wa kukatakata umeme tutajikuta siku moja nchi yeto ni yamwisho kwa umasikini duniani.PLz serikari,plz tannesco,tunaomba umeme watu waendelee na shughul za kulijenga Taifa
    Aunt Rachel.

    ReplyDelete
  9. Hivi kwani huyo Bint yuko Ulaya au hapo hapo Dar?

    ReplyDelete
  10. kaka michuzi hii aibu wallah.

    ReplyDelete
  11. Wewe Badra acha uongo wako huo na kutuelezea sababu zisizoeleweka hizo!kwani transfomer zina matatizo ya kila siku?Msiwatese wananchi hivyo kwa kuwakatia katia umeme!Sasa kwanini mnawatesa watu hivyo na wapo kwenye kufunga mwezi wa Ramadhani?Watu wanahitaji maji ya baridi wakati wakifuturu!Hamuogopi Mnyeezi Mungu?Mchana watu washindwe kufanya biashara zao zinazotumia umeme na usiku watu washindwe kulala sababu ya joto maana hakuna umeme na feni hazifanyi kazi!Jamani tupo karne ya 21 lakini mambo ni yale yale!kweli kutakuwa na maendeleo ya nchi?

    ReplyDelete
  12. hii ni kejeli kwa taifa zima, na ni aibu ilioje kuona watu baada ya kutoa comments za kimaendeleo zenye kujenga katika swala muhimu kama hili ili kuwafanya wahusika kupata japo aibu na kulitatua tatizo, badala yake wanaleta mzama. Ni kweli nchi zilizoendelea zina matatizo mengi lakini pia yana ugumu wake kuyatatua na si kama haya matatizo yetu ambayo kimsingi yana ufumbuzi na yenye kutatulika swala ni ukosefu wa uzalendo wa nchi kwa baadhi ya watu husika. Matatizo ya wenzetu yakiwa ni ya kutatulika kirahisi alafu muhusika akishindwa kutatua kwa mda huwa wanajiuzuru au kufukuzwa kazi ni si kwetu kila siku kuoneana aibu eti akitoka fulani nchi itapwaya yani nchi nzima yeye peke yake ndo mwenye uwezo wa kuifanya nchi iendelee.HEBU TUBADILIKE WATANZANIA, HII NI AIBU YETU SOTE, NA TUTOE MAWAZO YA KUJENGA YANAWEZA HATA KUMSAIDIA MTU HUSIKA MAANA SI KILA MTU ANA MAWAZO SAWA NA MWINGINE, MAANA UNAWEZA KUWA KIONGOZI MWENYE AKILI, LAKINI UKAKOSA UFUMBUZI WA JAMBO DOGO TU, HIVYO TUJITAIDI KUELIMISHANA NA SI KUTIANA UJINGA!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...