Naam Wdau!
Msikose kuangalia kipindi maridadi kabisa cha FAMILY FULL MAPESA kupitia STAR TV kila JUMAPILI SAA 12:30 - 1:00 JIONI. Hiki ni kipindi cha kifamilia ambacho watu wanapata bahati ya kushuhudia maswali na majibu kibao yanayolenga kuelimisha, pamoja na kuburudisha jamii.
Pia, mnaweza kufuatilia video clips na picha mbalimbali za kipindi hiki kupitia blog ya http://sahihientertainment.
Na mwisho kabisa, jisikieni huru kuwasiliana nami kupitia rogart.mmole@gmail.com au rmmole@hotmail.com kwa maoni, mapendekezo, maswali,na hata makosoaji yanayohusu hiki kipindi.
Ahsanteni
Rogart Mmole
FFM Producer/Host
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...