Afisa mwendeshaji Mkuu wa Vodacom Tanzania Bw. Petter Corrie (kulia) akisalimiana na mmoja wa wateja wa Kampuni hiyo walioalikwa kushiriki futari iliyoandaliwa katika Hoteli ya Movenpick jana maalum kwa wateja wake.
Wageni waalikwa ambao pia ni wateja wa Vodacom wakipokea zawadi zao kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo (kulia) mara baada ya futari maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika Hoteli ya movenpick jana.
Baadhi ya wateja wa Vodacom wakifurahia zawadi walizopata wakati walipohudhuria futari maaalum iliyoandaliwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania kwa wateja wake katika hoteli ya Movenpick jana.
Wateja wa Vodacom wakifuturu katika futari maalum iliyoandaliwa na Kampuni hiyo katika hoteli ya movenpick jana.
Mtoa burudani akiburudisha wageni waalikwa, wateja wa Vodacom na baadhi ya wafanyakazi waliohudhuria futari maalum iliyoandaliwa na Kampuni hiyo katika hoteli ya Movenpick jana.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...