Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mh, sina hakika na impression zao kuhusu Dar...sema sijafika Kampala, hivi ni kweli Dar iko juu kuliko Kampala, au wanafagilia tu basi!

    ReplyDelete
  2. Hao walitaka tu kumfurahisha Mh Michuzi, si unajua tena uwezi ukaenda kwa mtu halafu ukaanza kupaponda mbele yake, si ustaarabu. Nimesoma Kampala, na kwa mtazamo wangu, Dar na Kampala kote kumechoka! Kwa maendeleo ya haraka, piga chini CCM, Piga chini Museveni.....Kwisha!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...