Raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakinunua matunda mbalimbali kwenye soko dogo la tegeta,kama walivyokutwa na kamera mani wa Globu ya Jamii,jana jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nadhani Kiswahili fasaha ni:
    Asili ya Kiasia,sio asili ya Kichina.
    Asili ya Kiafrika sio asili ya Kitanzania.
    Asili ya Kiyahudi sio asili ya Kiisrael.
    Asian,African,Jew = ethnicity

    ReplyDelete
  2. Hawanunui! Wanaangalia watawezaje kuingiza ndizi na matunda ya kichina!

    ReplyDelete
  3. But i didn't see any problem for them to buy fruits Mna hasira nao sana na hamuwezi kuwafanya chochote coz Tanzanian are coward si kama Wakenye maana hata haki zenu hamzijui. Je Watanzania walioko Nje ya Tz wakifuatiliwa wakiwa wananunua mcicha huko majuu mtajisikiaje? kama mnavyofuatilia wachina wakati wao hawana makosa kuja kufanya biashara za kimachinga Tz wamekaribishwa na serikali yenu tena hapo si ajabu wanachunguza wanavyouza then kesho na wao waanze. Mnawasema tu hamdhubuti hata kugoma kununua bidhaa zao feki mtanunua na tena mtawaoa/olewa nao maana kule kwao hawaruhusiwi tena kuoana na ukioa usizae na news zinasema madaktari watakuwa wanawafanyia upasuaji watoto wote wanao zaliwa kuondoa overies and tubes so speak and act is the ony thing it may help you Tz now if you real don't want them in there.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...