Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. amna kwingine moshi oyeeee, ts a unique region kwakwel...

    ReplyDelete
  2. Duh asante Bwashee aise..Naona hapo middle ground kulia ghorofa kama New castle hotel.Nimefika mara kadhaa moshi..nikijaribu..kuji-'orient' hapo ulipopigia picha siamini kama mlima uko kipande hiyo au mambo ya photo7?Anyway,ni picha nzuri.

    David V.

    ReplyDelete
  3. Viongozi wa Moshi wanastahili pongezi na wa miji mingine waige mfano basi jamani kumbe inawezekana, ila kwa hapa kwetu mmh utashangaa aliyeinnovate hiyo kitu anaweza kupata demotion badala ya promotion. Mungu tusaidie

    ReplyDelete
  4. Kama serikali itawekeza mikoani basi kuna uwezekano nchi ikaendelea kwa kasi.
    Ukiangalia karibu mikoa yote bado ina plan nzuri tu ya mji na pia kuna shehemu chache za kurekebisha (uswahilini) ukilinganisha na Dar es salaam.
    Gharama ya kujenga Dar es salaam mpya itaongeza wingi wa watu kuhamia kutoka mikoani na haita saidia kitu cha msingi ni kurekebisha huduma za jamii kama barabra n.k
    Kuna haja ya kujenga doble way zenye ubora usio haribu mazingira kwa ajili ya watalii kuzunguka mlima sio kupanda tuu.
    Hoteli za bei nafuu kwa wanafunzi wa kimataifa na wenyeji zenye ubora pamoja na Viwanja vya michezo n.k
    Tunaweza kuwa na watalii wengi sana kama tutafanya hivyo.
    Kuna shule nyingi za ulaya zinafanya sfari mara mbili kwa mwaka ili kuonyesha wanafunzi wao mazingira mbali mbali,kama tunahuduma nzuri za kijamii basi wanaweza kuwa wanakuja kwa wingi kutembelea Tanzania.

    ReplyDelete
  5. ni vema miji mingine waige mfano wa mji huu.

    ReplyDelete
  6. Wakurugenzi wa mkoa Moshi wahamishiwe Dar.
    Hongera sana Wakuu wa Moshi mji huu ni msafiiii hadi raha,tengenezeni sasa barabara za nje ya mji

    ReplyDelete
  7. mbona hamna cha maana cha kujisufi? zaidi ya mlima na mikoa mingine itawezaje kuiga kuwa na mlima?

    ReplyDelete
  8. Home sweet home

    ReplyDelete
  9. Jamani aliyeipiga hiyo picha atuambie basi tekniks alizotumia na alikua saa ngapi. Nimeipenda.

    ReplyDelete
  10. Unajua ukipiga picha ya mji wowote ambamo umeme unawaka panaonekana pazuri sana?? Mfano Mwanza, zile nyumba juu ya milima huonekana kama maghorofa ya ukweli balaa. Hivyo, ili uweze kutoa tathmini halali ni vema upate picha ya mchana. Simaanishi Moshi ni pabaya, la hasha, ni pazuri sana hata nilishawahi kutaka kujenga huko japo ninatoka mkoa wa mbali sana. Ni angalizo tu.

    ReplyDelete
  11. Hii picha nadhani iepigiwa kutoka Kindoroko, pale tulikuwa tunaenda kunywa bia ya glas wanaita KEG, Moshi oyee na kuku wa changbay juu zaidi... ;)

    ReplyDelete
  12. halafu asilimia 70% ya watoto wa moshi wako nje ya nchi jamani kweli wamebarikiwa utasikia mama flani mwanae usa, sweden, uk dahhhhhhhhhwachaga juu kabisa

    ReplyDelete
  13. hahaha!!!!!!!!!!!! kweli wachaga mna matatizo mmeona wamewasahau kuwasifia kama ilivyokua zamani muda wenu uliishapita wakuu sasa hivi ngoma droo kila sehemu watu wako poa, na wewe mdau hapo juu eti 70% wako nje hebu kua acha utoto wako hauna kazi ya kufanya ,hiyo picha ingepigwa mchana ndio tungeona ubovu wa huo mji apart from ile kipleft ya mengi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...