Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha wakiwa wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Baadhi ya washiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wa kipiga picha na kusalimiana na vijana wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi.
Wakiwa Chalinze na vijana wa mji huo
Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalizne Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi


Mimi sipendi hayo mawigi yanayofunika paji la uso. Hivi kwanini tu usikae na nywele zako mpaka ujiwekee manywele ya bandia. so what......!
ReplyDeleteina maana walienda safari kwa miguu?? kumbe hao mademu wamekomaa kama azimio!
ReplyDeleteDah maskini kijana wa Chalinze(picha no 3) keshajichafua suruali
ReplyDeletekaka picha ya pili na ya tatu kutoka juu huyo mwenye Jaket la drafti drafti za nyeupe na nyeusi ni nani huyo?
ReplyDeleteNaweza kupata jina lake na kontakt zake? Daah!