Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
 Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha wakiwa wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.

 Baadhi ya  washiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wa kipiga picha na kusalimiana na vijana wa Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi. 


 Wakiwa Chalinze na vijana wa mji huo
Vodacom Miss Kanda ya Mashariki, Loveness Flavian akizungumza na waandishi wa habari katika mji wa Chalizne   Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini. Warembo hao 30 walisimama kwa muda Chalinze kusalimiana na wananchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mimi sipendi hayo mawigi yanayofunika paji la uso. Hivi kwanini tu usikae na nywele zako mpaka ujiwekee manywele ya bandia. so what......!

    ReplyDelete
  2. ina maana walienda safari kwa miguu?? kumbe hao mademu wamekomaa kama azimio!

    ReplyDelete
  3. Dah maskini kijana wa Chalinze(picha no 3) keshajichafua suruali

    ReplyDelete
  4. kaka picha ya pili na ya tatu kutoka juu huyo mwenye Jaket la drafti drafti za nyeupe na nyeusi ni nani huyo?

    Naweza kupata jina lake na kontakt zake? Daah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...