Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Cyril Chami (kulia) akizungumza na wajumbe wa Bodi mpya ya NDC.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NDC, Mh. Dr. Chrisant Mzindakaya, akifatiwa na Prof. Idris Kikula.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa bodi mpya ya NDC na Menejimenti ya NDC. Waliosimama mbele kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa NDC Gideon Nasari akifatiwa na Lucy Sondo, Mh. Dr. Chrisant Mzindakaya na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Joyce Mapunjo.


Tanzania kuendelea ni vigumu sana,NDC ni kiini cha maendeleo sasa inakuwaje mwenyekiti wa bodi sio msomi wa kujua maendeleo ila amechaguliwa kisiasa kufurahisha kwa vile hana kazi.Lets be clear enzi kama hizo zimekwisha this post needs accountability it nedds someone who is responsible.Unaona matatizo ya Tanesco yalitokana na kuchaguliwa watu kama Mzindakaya kuliongoza sasa tunaona matokeo yake.Afadhali serikali impe pension kubwa lakini mambo ya maendeleo weapewe watu wenye uwezo,tusichezee nchi na wananchi.
ReplyDelete