Baba wa taifa Mwalimu Nyerere akiongea na wanahabari Juni 14, 1994 katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam
Home
Unlabelled
wosia wa baba wa taifa sehemu ya kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimetoa machozi kwa uchungu.God less his soul na nawish angeyaona ya leo.tunashukuru sana michu
ReplyDeleteBwana michuzi nashukuru sana kwa kutukumbusha mzee wetu kipenzi cha waafrica mimi kama mwana ccm aliyesomeshwa kwa pesa ya watanzania nimeumwa nimelia sana kwa uchungu mwingi kutokana na mambo ninayoyaona leo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa ccm na wa upinzani naomba mwenyezi mungu aipumzishe roho ya kipenzi cha waafrica,mwalimu baba ulitutoka mapema yote niya mungu ungekuwepo baba leo sijui wangesema nini bwana michuzi ningependa kujua kamanaweza kupata cd za hutuba za mwalimu
ReplyDeleteasante ongeza nyingine