Wadau wa Big Bon ambao ndio walionunua mechi ya Ngao ya Jamii ya Yanga na Simba wakiwa uwanja wa Taifa jana kabla ya gemu
 Wadau wa Big Bon wakifuturu kabla ya gemu
 Muasisi wa Bongo Fleva Saleh Jabir naye alikuwemo kundini
Mdau wa Big Bon akipuliza vuvuzela lake kabla ya gemu kuanza.
Picha kwa hisani ya Saleh Jabir

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Dick DesterdlyAugust 18, 2011

    Mjomba,Nashukuru kweli manake nazidi kupata ufaham wa kwanini jana tulifungwa ile mechi.Hawa wadhamini ni SIMBWA tu sasa tutegemee nini tena kama sio kufungwa

    ReplyDelete
  2. mimi nilikuwapo na saleh jabir jana alialikwa tu kwa hisani ya wafadhili kama mgeni lakini saleh mwenyewe aliweka wazi kuwa yeye ni yanga damu kama baba yake jabir.

    ReplyDelete
  3. Kaka mwambie huyo Mdau wa Big Bon anaepuliza vuvuzela awe anafanya mazoezi bana kwa faida yake.

    Si mwenyewe unacheki ki-SACCOS hicho na 'SPEA TAIRI' hizo?

    ReplyDelete
  4. Kudadadeki viti vya Neshno la Taifa tayari vimechanika, vya Kichina nadhani...

    ReplyDelete
  5. viti choka mbaya kweli bongo noma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...