Na katunisti Aloyce James wa Champion

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. lijamaa lina uchu hilo

    ReplyDelete
  2. Anayepakatwa huwa ni Simba tuu.. unngebuni yako, kila kitu mnageza tuu!!
    Ndio yaleyale ya kutaka kupeleka ka-ngao ka jamii bungeni..

    ReplyDelete
  3. Ha ha haaaa!!!!! Michu mwambie Nathan Mpangala naye atuwekee kibonzo cha kupakatwa Yanga. Sijui kama ataweza kukichora maana jamaa ni Yanga damu.

    ReplyDelete
  4. Hahahaha mbili za ukwezi ni za goli dogo.

    ReplyDelete
  5. Kuiga-iga nako kunaharibu arts za watu. mngemwachia mwenye kuanzisha bar ya "simba kapakatwa"na jina lake. inaolekea simba hawaipendi kabisa ile bar, ingekua Zanzibar ingeshachomwa moto siku nyingi sana.

    ReplyDelete
  6. Duh, jamani yanga wanavutia na kupakatwa huko basi ameshaanza kulia kabla ya kuingia ndani huku aibu. Kumbe anataka zaidi ya goli mbili.

    ReplyDelete
  7. Du yanga kumbe mrembo kiasi hicho,simba anamfaidi sana,mume mwema ni yule anayemuonea huruma mkewe,hataki kumchosha sana goli mbili tu zinatosha.Raha kweli kuwa na mke wa kupakata kama yanga.

    ReplyDelete
  8. Yanga punguzeni hasira.

    ReplyDelete
  9. Waliotoa maoni hapo juu ambao ni Yanga nishawajua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...