Home
Unlabelled
asas dairies ya iringa yateka kabisa soko la maziwa nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hayo maendeleo, tunapiga hatua taratibu.
ReplyDeleteSaaaaaaaaaaaaaafi sana! Tuwaombee waendelee hivyo.
ReplyDeleteSafi sana Asas diaries, kazi kwenu serikali kuweka mazingira mazuri ya wawekezaji viwanda. Punguzo la kodi kwa wanaojenga na kuwekeza kwenye viwanda. Na umeme wa uhakika.
ReplyDeleteMpenda maendeleo USA.
Songea yanapatikana duka gani? Mtwara na Lindi natumai nitayakuta maeneo ya free park, Dubai (Mtwara) Himo one au stand (Lindi)au na kwenyewe hayajafika? Nchi nzima maana yake nini?
ReplyDeleteThis is a big shem kwa aliye post hii kit! Haya maziwa kwasasa yanakaribia wiki mbili hayapatikani madukani jijini Dar. Nimekuwa nikiyatafuta kuanzia Shoprite, Wande supermarket pale Sayansi, Bigbon Sinza kote hakuna tangu wiki jana sasa leo nashangaa kusikia eti yameteka soko au ni soko la huko Iringa?
ReplyDeleteMimi nilikuwa nashangaa kweli Watz kununua maziwa kutoka Zimbabwe wakati yetu yanaharibika.
ReplyDeleteHongera sana ASAS mujitahidi angalau tuwape ajira wananchi na wafugaji ili kuinua kipato chao.
TANGA FRESH NAYO VP ....WADAU TUPENI HABARI BONGO TUMEONDOKA SIKU NYINGI, HABARI KAMA HIZI NI NADRA KUZIPATA, KAMPUNI ZETU PIA ZINAWEZA TUKIPIGA VITA UFISADI NCHINI !!
ReplyDeleteTanga Fresh wapo na wanapeta kichizi,maziwa yao ni funika ,mtindi,fresh yoghurt
ReplyDelete