Katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhan huku Toronto, Canada, kulikuwa na bonge moja la babekyuu  iliyofuatiwa na mchuano wa mechi mkali wa timu ya Maveterani  na  Yosso  wa Toronto (Taifa Stars) ambapo ngoma ilikuwa droo hadi dakika 90. Pichani juu ni timu ya Maveterani wa Toronto 
Baadhi ya Maveterani wa Toronto wakijiweka sawa kwa gemu



 Yosso ya Toronto
 Wadau wakiangalia gemu
 Benchi la ufundi la Yosso wa Toronto
Yosso wakijiandaa kuingia uwanjani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yosso? jamaa wanaonekana wakubwa bado mnawaita Yosso.

    ReplyDelete
  2. Mbona tunaoona picha za benchi la ufundi lakini watu wakicheza uwanjani hakuna, it seem like wachezaji ndio hao hao washangiliaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...