Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Mh.balozi Mwanaidi Maajar (pili kushoto) akiwa na mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza (kushoto) na Mary Mgawe na Afisa ubalozi Suleiman Saleh mwishoni mwa wiki. Wakati alipotembelea kituo hicho ambapo alizungumzia pamoja na mambo mengine maandalizi ya kusheherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania pamoja na kongamano la diaspora, sherehe ambazo zitakazofanyika huko Washington Marekani kuanzia Septemba 22. kwa picha zaidi bofya www.sundayshomari.com
Home
Unlabelled
Balozi Maajar akutana na wakuu wa VOA idhaa ya kiswahili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...