UJUMBE WA KAMATI MAALUM YA KUDUMU YA KUSHUGHULIKIA MASHAMBA YA SERIKALI UKIKAGUA MOJA YA SHAMBA LA SERIKALI LILILOTELEKEZWA KATIKA KIJIJI CHA KANGANI MKOA WA KUSINI  PEMBA UJUMBE HUO UNAOONGOZWA NA MWENYEKITI WAKE MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE BALOZI SEIF ALI IDDI 
 MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KAMATI MAALUM YA KUDUMU INAYOSHUGHULIKIA MASHAMBA YA SERIKALI AKIKAGUA KAFARUFUU ZA MKULIMA BW, ALI SALIM ALI WA WILAYA YA MKOANI MKOA WA KUSINI PEMBA ALIYEKUTWA AKIZICHAMBUA TAYARI KWA MAUZO KATIKA SHIRIKA LA TAIFA LA ZSTC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. safari hii kweli lazima pemba kubadilike mradi tu wa kujenga utafutwe kusaidia wananchi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...