Mshauri wa Habari wa NBC (Consultant Media Management) Redemptus Masanja akimkabidhi Mh: Waziri wa Afya wa Zanzibar baadhi ya vifaa kwa niaba ya wahanga wa ajali ya MV Spice Islander.


Waziri wa Afya wa Zanzibar akitoa Shukurani kwa Benki ya NBC kwa kutoa Msaada kwa wote waliofikwa na janga hili la ajali ya Meli.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...