ASSALAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH:
UMOJA WA WANAFUNZI ULIOPO ESKISEHIR UNATOWA RAMBI RAMBI ZA WAFIWA PAMOJA NA NDUGU.TUPO PAMOJA KATIKA MSIBA HUU NA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AWALAZE MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI;AMIIN.
MAKAMO WA RAIS MSTAAFU WA UMOJA WA WANAFUNZI WA AFRIKA.
H.H.KHAMIS


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...