MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mchango wa Fedha shilingi milioni tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Mh Freeman Mbowe, kwa ajili ya Waathirika wa ajali ya Meli iliotokea usiku wa tarehe 9-9-2011 katika bahari ya Nungwi.
MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akitowa shukrani kwa msaada uliotolewa na Chama cha CHADEMA Tanzania.
MWENYEKITI wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akitowa rambirambi za Chama chake kwa wahanga wa ajali ya meli alipofika Ofisi ya Mamaku wa Pili wa Rais kutowa rambimrambi leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wazanzibar tunashukuru sana kwa msaada wenu na vile tunamshuku mh zitto zubeir kambwe kwa kutufumbia macho

    ReplyDelete
  2. Mkuu, tunashkuru sana!Sio tu kwa msaada bali pia kwa chama chama chako kuonyesha mshikamano wa kitaifa! Katika siku za karibuni kidogo..wewe na zitto mnatupa moyo!Ila sijui kama wahafidhina wenu watawaelewa? kwa maana haionekani kama ZNZ imo ktk plani zao.

    ReplyDelete
  3. Ndio maana mnakubalika. Hii ni kwa sababu mnafahamu vema nini cha kufanya na kwa wakati gani. Kweli ninyi ni DEMOCRATS!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...