
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokea mchango wa Fedha shilingi milioni tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Mh Freeman Mbowe, kwa ajili ya Waathirika wa ajali ya Meli iliotokea usiku wa tarehe 9-9-2011 katika bahari ya Nungwi.

MAKAMU wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akitowa shukrani kwa msaada uliotolewa na Chama cha CHADEMA Tanzania.

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe akitowa rambirambi za Chama chake kwa wahanga wa ajali ya meli alipofika Ofisi ya Mamaku wa Pili wa Rais kutowa rambimrambi leo
wazanzibar tunashukuru sana kwa msaada wenu na vile tunamshuku mh zitto zubeir kambwe kwa kutufumbia macho
ReplyDeleteMkuu, tunashkuru sana!Sio tu kwa msaada bali pia kwa chama chama chako kuonyesha mshikamano wa kitaifa! Katika siku za karibuni kidogo..wewe na zitto mnatupa moyo!Ila sijui kama wahafidhina wenu watawaelewa? kwa maana haionekani kama ZNZ imo ktk plani zao.
ReplyDeleteNdio maana mnakubalika. Hii ni kwa sababu mnafahamu vema nini cha kufanya na kwa wakati gani. Kweli ninyi ni DEMOCRATS!!!
ReplyDelete