Home
Unlabelled
chadema hawakufanya kosa kumdhibiti mkuu wa wilaya igunga-Tundu Lisu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijui tunaelekea wapi, kama uozo unatokea, viongozi wa juu na magwanda yao unatetea kwamba ni haki, ndio sheria yao, wamefanya vizuri na wataendelea. hii sio sawa. kama kweli DC alikosea, siwangefuata utaratibu uliopo sio kumzalilisha na hadi mavazi yake!
ReplyDeleteWe Tundu Lissu wacha ujinga wako! Ni kosa kubwa sana kwa wahuni kumvua hijabu mwanamke wa Kiislamu kwa tuhuma zozote zile. Kitendo mlichokifanya ni kutangaza vita dhidi ya Uislamu na Waislamu wote!!!! Ungelijua watu tulivyokasirika dada yetu kunyanyaswa kijinsia na ishara (symbol) ya dini yetu ilivyodhalilishwa (desecration) usingelithubutu kuendelea kutuudhi. Jihadharini sana, kwa vile hatutaki vita na fujo usidhani tunawaogopa. La hatuwaogopi; tunataka amani iendelee TZ. Lakini mkiendelea kutukana dini yetu itafika mahali ambapo Tz itakuwa kama Somalia au worse (God forbid). Mimi ni Mwislamu lakini sitakubali kumwona mwehu wa Kiislamu akimvua mtawa mwanamke mkatoliki scarf yake ya stara wala sitakubali Mwislamu yoyote autukane msalaba. Watanzania tuendelee kuheshimiana; wala ambao wanatafuta vita kwa nguvu lazima waadhibiwe vikali sana.
ReplyDeleteTundu Lissu na wenzako: mporeni DC simu na mkufu wake, lakini komeni mpaka siku yenu ya kufa kuwavua wanawake wa Kiislamu hijabu zao. Msitafute vita vitakavyowashinda.... Mwanakombo.
ReplyDeleteslaa, tundu lisu na godbless lema, kumbukeni anayeishi kwa upanga naye atamalizwa kwa upanga. a word to the wise is enough.
ReplyDeleteWaislamu wenzangu, naomba tuwe wamilivu na tuiachie mahakama ifanye kazi yake. Najua wengi tumefadhaishwa na machokoraa wa kyadema kuinajisi hijab ya mama, shangazi na dada yetu. Tukumbuke Qur'an Takatifu inavyotuambia "Mwenyezi Mungu yuko na wenye kusubiri". Kama tu mahakama ikishindwa kutenda haki ndipo sisi itabidi tukae chini na tujue ni hatua gani tuzichukue. Lukumani.
ReplyDeleteAnkal, mimi si mtu wa jazba lakini lazimi nikiri kuwa nilishindwa kupata usingizi kwa hasira niliyokuwa nayo baada ya kuona picha magazetini ya jinsi Mama Fatma Kimario alivyodhalilishwa na vijana ambao anaweza kuwazaa. Huko Chadema wanakotaka kutupeleka ni pabaya sana. Lazima Watanzania wote kusimama kidete kupinga vitendo vya kihuni kama hivyo.
ReplyDeleteMimi sikushangazwa na kitendo walichofanya vibaka wa cdm kwa kuwa Slaa alitamka zaidi ya mara nne wakati wa kampeni 2010 kuwa Chadema lazima watamwaga damu na mwaka huu alisema kuwa yeye (who the hell does he think he is?) atahakikisha nchi haitawaliki. Mwaka jana walimuua dreva mmoja wa CCM Maswa hadharani, Arusha walimpiga Mama Mary Kisaka mpaka akalazwa hospitali, Mwanza na Arusha walishambulia ofisi za CCM na huko Igunga wamemwagia kada wa CCM tindikali na kupiga mawe gari ya mbunge mmoja wa CCM. Sisi wana-CCM tuna wajibu wa kujipanga kwa kuanzia na kuifufua Green Guards ili tujihami na tuwakomeshe cdm once and for all. Morani7.
ReplyDeleteSheria ya Kiislamu inasema kuwa Jihad ni halali pale ambapo dini yetu, Waislamu wenzetu na ishara za dini yetu zinaposhambuliwa kama ilivyotokea Igunga. Lakini pia sheria zetu zinasema kuwa Jihad ni halali dhidi ya wale tu waliotenda kosa la kutudhalilisha na siyo kujumlisha wasiohusika. Chakula kwa fikra.
ReplyDeleteHuyu Tundu Lisu ana akili timamu kweli? Mimi naona bora apelekwa kitengo cha MH Muhimbili. Augustino.
ReplyDeleteKwa kawaida hapa nchini kwetu Tanzania si mara nyingi kwa haki kupatikana kwa kupitia mlango wa mahakama!! Ninasubiri kwa hamu kubwa maamuzi ya mahakama kuhusiana na udhalilishaji aliofanyiwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga. Endapo watuhumiwa na hasa hao wabunge wataachiliwa huru kwa kuonekana hawana hatia basi mimi binafsi nitakuwa tayari kupelekwa mahakamani kujibu mashitaka ya mauaji kwa vile uamuzi nitakaouchukuwa ni kusababisha kifo cha hao wabunge angalau mmoja kati yao!!!! Haiwezekani eti mahakama iwaone hawana hatia wakati tayari kuna ushahidi wa wazi.
ReplyDeleteMbona kuna picha inayoonyesha kijana mmoja mkimvuta mkono kwa nguvu huyo mama wa watu bila ya hiari yake. Hilo ni kosa pia. Ughaibuni linaitwa "hostage taking" ambayo "prosecutor" anaweza kukuhesabia zaidi ya makosa 20 hapo na pia kuongeza moja la terrorism!!
ReplyDeleteMacho ya Dr. Slaa! Mheeee!!!!!!! Haya bwana. Yaani anajiuliza Urais alivyoukosa mwaka jana mpaka sasa hivi hajaamini macho yake. Anaona 2015 ni mbali sana!!
ReplyDeleteNyie viongozi wa CHADEMA muwe mnachagua maneno ya kutumia.. Kama kweli huyo Mkuu wa Wilaya alifanya makosa basi dawa yake ni kumdhibiti? Nina wasiwasi mkiingia madarakani limit yenu ya kudhibiri watu itaishia wapi na sheria itaanzia wapi.
ReplyDeleteNilitegemea atasema hivyo,akili zake pamoja na hao waliofanya vitendo vya kiteja zinalingana.ofanya vitendo vya kiteja zinalingana.
ReplyDeleteNinakwenda kinyume na wale wanaohusisha tukio hili na mambo ya udini! Hapa si pahala pake. Ukweli ni kuwa DC angetumia nafasi yake vyema hay yote yasingemkuta. Wanaoropoka Udini Udini hawana la maana la kusema. Masalakulangwa
ReplyDeleteSuala la dini lisichanganywe na sakata hili. Je hao wabunge walioshitakiwa walishiriki kumnyanyasa DC? kama sio kesi hii itakuwa kama ya Zombe. Pili, kwanini DC hakuwa na ulinzi kama alikuwa anafanya matendo halali? Tatu, alikuwa akifanya nini wakati Chadema wakiwa ktk kampeini wakati sheria inazuia serikali kuingilia siasa? Mwisho, vyombo vyetu vya sheria na dola mnafahamu vinavyofanya kazi kwa maelekezo ya viongozi ambao ndio viongozi wa CCM sasa mlitegemea Chadema wachukue uamuzi gani? Haya yote yanaashiria kwamba huko tuendako ni kweusi kama mamlaka za haki zikiendelea kama zinavyofanya sasa.
ReplyDeletesuala la udini tusiliingize hapa katika sakata la dc wa igunga jamani inasikitisha wachangiaji wanavyoligeuza hilo suala kuwa udini acheni hizo CCM mkiona mnashindwa mnaanza uzushi.je kuna ushahidi wowote kwamba aliyemwagiwa tindikali amememwagiwa na wanachama wa chadema.huyo dc hata angekuwa mkristo kilichotokea kimetokea haijalishi angekuwa mkristo mpagani au muislam tusiliweke hili suala kuwa la kiislam zaidi
ReplyDeleteabdalah mashiku chadema mwanza
kwa nini swala la kidini lisiingie kata hapo wakati wameidhalilisha dini yetu wee hujui umuhimu wa hijaab ktk dini yetu..kaa kimya..hijab ni moja ya ibada ktk dini yetu...mnatuanza wenyewe....subirini tuu we unjifanya tusichanganye udini wakati wewe unachanganya kaa kimyaaaa...
ReplyDeletewe unayejiita ABDALAH MASHIKU...kama hujui thamani ya dini yetu ukae kimya....siasa nini mbele ya mwenyezimungu? dini kwanza siasa baadae..hapa si uccm wala uchadema..hao chadema wameingilia imani ya mtu kwa kumvua hijaab ambayo ni ibada ya mtu ktk imani yake...lazima sheria ya dini ichukuwe mkondo wake....
ReplyDeleteJamani swala si kuwa amefanyiwa muislamu au siyo muislamu, swala ni kwamba kitendo hicho ni cha udhalilishaji, mimi siyo muislamu ila kitendo walichofanya chadema ni cha udhalilishaji, unyanyasaji, siyo cha kiungwana, wangemwambia aondoke eneo alilokuwepo kwa ustraarabu, sababu siku zote ukitumia ustaarabu mambo yanakuwa rahisi sana. Jamani tumuombe Mwenyezi Mungu maana tunapoelekea siyo kwenyewe kabisa.
ReplyDeleteHivi kweli sheria ndo inaruhusu udhalilishaji huu, wee tundu lissu si mwanasheria wewe? siyo ustraarabu kitendo hicho afanyiwe either muislamu au si muislamu
ReplyDeleteKama huyu DC angekuwa Mkristo, na akafanyiwa hivi kwasababu ya njama zake za kuiba kura, Waislam mnaogomba mngesemaje??. Tafakari kwa kina.
ReplyDeleteUkristo Versus Uislamu-Hatari!
ReplyDeleteKwa ,mujibu wa mashtaka yalotolewa hakuna hata sehemu moja ambayo upande wa mashtaka umedai kuwa mkuu wa Wilaya "Mwislamu alifanyiwa 1, 2, 3 ... Ajabu ni kuwa wachangiaji tunalipindisha suala hili na kuliingiza katika mambo ya dini. Jamani dini itumike kutuweka karibu zaidi na MUNGU na kupendana sisi kwa sisi. Mambo ya kutishana kwa Jihad yanatoka wapi? Au kusema Tanzania itageuka Somalia yanatoka wapi? Na ikiwa kama Somalia, kifo hakichagui ndugu zangu.
Mkuu wa Wilaya "kuvuliwa hijab/kuonekana tumbo"
Naomba niwakumbushe Watanzania wenzangu kuwa binadamu wote ni sawa. Alilofanyiwa mama Fatuma Kimaro si sawa kama ambavyo mtu mwingine angefanyiwa si sawa. Ikumbukwe kuwa Mheshimiwa Tundu Lissu alichaniwa shati lake na tumbo lake kubaki nje. Hakuna alosema kuwa "Mbunge", "Mkristo", "Mwislamu" kaachwa tumbo wazi na hakuna hata polisi alochukuliwa hatua! Watanzania tupende haki na kuzitetea.
Wananchi kukosa imani na serikali.
Katika mambo yanayonitisha zaidi katika maisha ya Watanzania ni hili la wananchi kutokuwa na imani na serikali na vyombo vyake. Haya mambo ya "kujichukulia sheria mkononi" ni ishara tosha kuwa wananchi wanakosa imani na vyombo vya serikali serikali yao halali walioichagua kuwaongoza na kuwatatulia matatizo yao. Hili linarekebika kama viongozi watakuwa tayari kubadilika na kuwatumikia Watanzania.
Hili ni suala la udini KWA KUWA MACHOKORAA WA CHADEMA WALIMVUA KWA NGUVU MAMA KIMARIO HIJABU YAKE. HUO NDIO UKWELI.
ReplyDeleteNaona kwa upeo wangu mdogo, dini inaingia kwa kuwa hao wahuni wameona kuvua ile hijab ni kumdhalilisha (thats why they did it...purposely) Kanisani huwezi mvua Sr. Kilemba ni kumdhalilisha kwa hali ya juu sana. So tuache ubabe wa kidhalimu na kinyanyanyasaji kwa jinsia.
ReplyDeleteNinapata shida kuona mtu kama tundu lissu ana shabikia watu kuchukua sheria mkononi (above the law) while yeye anaijua sheria vizuri sana.. anatufundisha nni sisi watanzania? Tuige hatua waliochukua dhidi ya Mheshimiwa kwa watu wengine pia? Ningemwona mbabe kama angewachukua hivyo mafisadi kwa kuwa Chadema wanaudibitisho.. Acheni siasa za ubabe.. wasomi gani nyie? Dictatorship in leadership au nini zaidi. Clara
Kwa nini mnahusisha hili swala na udini? hapa hakuna udini hata kama angelikuwa mkristo angechukuliwa hatua tu mbona wabunge wa CHADEMA kila mara wanawekwa ndani?Hii inadhihirisha jinsi CCM mnavyotaka kujificha kutumia udini na wote mshindwe na mlegee.
ReplyDeleteTuachane kabisa na masuala yasiyo ya msingi ya Udini! kitendo alichokifanya DC si cha kiungwana na dini zote zinakataza maovu kama hayo! DC ilitakiwa awe mfano wa kutunza amani! adhabu aliyoipata inastahili ili iwe fundisho kwake na kwa wengine! Uvumilivu unaenda na wakati kwa kipindi hiki kwa mazingira ya Igunga ni vigumu sana kuvumilia kwa suala alilolifanya DC hata hivyo hao Chadema ni waastaarabu sana ingekuwa upande wa CCM wamefanyiwa hivyo fikiri ingekuwaje!
ReplyDeleteJuma Igunga.
watanzania bwana....!!!1 cha msingi badilikeni nchi haieleweki chagueni viongozi bora soi bora viongozi... kwetu wanasema JIONGEZE wengine wanasema TAFAKARI, wengine THINK DEEP,
ReplyDeletetusiitumie dini kama kigezo cha kufanya maovu ya aina yoyote ile.
ReplyDeletenyinyi waislam mbona hizo hijjab tunawavua huko kwenye gesti na hamlalamiki?acheni ubwege hilo alilovaa mkuu wa wilaya ni tambara tu gesti tunawavua kila siku tena wakristo leo mara kavuliwa hijjab acha hizo
ReplyDeleteNaungana na watoa mada wawili wa mwisho hapa hakuna udini na hakuna dini inayoaagiza kufanya fitina kama dc alizokuwa anafanya. Tunahitaji play ground iliyo sawa kwa vyama vyote. CCM wanatumia kila njia kutaka kushinda hata kama hawakubariki. CDM endelea hivyohivyo mkilegeza kamba jamaa wanawazamisha.
ReplyDeleteFortu
WEWE UJIITAYE ABDALAH MASHIKU LABDA KAMA KWELI NI MUISLAMU HUJUI NINI MAFUNZO YA DINI HII TUKUFU YANASEMA.
ReplyDeleteUMEONA WAPI WEWE WAISLAMU WAKACOMPROMISE DINI YAO?
HAWA CHADEMA HII SI MARA YA KWANZA KUONESHA DHARAU NA BEZO NA KEJELI DHIDI YA UISLAMU. SASA NIONAVYO ENOUGH IS ENOUGH. NI LAZIMA VYOMBO VINAVYOSIMAMIA MASUALA NA MASLAHI YA WAISLAMU HUKO TZ VIKATOA ONYO KALI NA KUICHUKULIA CHADEMA HATUA ZINAZOFAA ILI ISIENDELEE KUTUMIA VISINGIZIO VYA SIASA KUIDHALILISHA DINI YETU.
WEWE ABDALAH LABDA CHADEMA KWAKO INA MAANA ZAIDI YA UISLAMU, SIKULAUMU SANA ILA NTAKUSHAURI TU UISOME NA KUIELEWA DINI HII, KWANI HUNA UWEZO NA MAARIFA YA KUPIMA UZITO BAINA YA UISLAMU NA CHADEMA UKO WAPI.
MUISLAMU KAMWE HARUHUSIWI KURIDHIKA PALE MUISLAMU MWENGINE ANAPOKEBEHIWA IMANI YAKE. HAPA UK WALE EDL, CHAMA CHA KIBAGUZI DHIDI YETU WAISLAMU, KILIPOJARIBU TU KUTAKA KUTUDHALILISHA SERIKALI IKAINGILIA KATI NA KUKIONYA.
VIPI LEO HAPO TZ, AMBAKO IDADI YA WAISLAMU NI KUBWA ZAIDI KIASILIMIA UKILINGANISHA NA HAPA UK, MAADUI WA UISLAMU CHADEMA WARUHUSIWE KUMDHALILISHA MAMA WA WATU KWA KUMVUA HIJABU-UTAMBULISHO WA IMANI YAKE-KWA KISINGIZIO CHA ETI KUVUNJA SHERIA?
KWANI NI LINI TZ IMETOA RUHUSA KWA VYAMA VYA SIASA KUWACHUKULIA HATUA RAIA VINAPOONA WAMEVUNJA SHERIA?
JE KAMA NDIO VYAMA VIMESHAPEWA UWEZO WA KUCHUKUA SHERIA MKONONI, JE MIONGONI MWA ADHABU NI KUMVUA MUISLAMU MWANAMKE HIJABU YAKE NA KUMWITA MALAYA KADAMNASI?
NDIO UTU HUO?
JE HUYU ANGEKUWA SISTA NA VAZI LAKE, KUNA MTWANA ANGETHUBUTU HATA KUMGUSA?
THUBUUUUTUUU!
CHADEMA MKOME SASA HIVI KUMDHALILISHA MUISLAMU. KWA TAARIFA YENU, WAISLAMU WA TZ WANA UWEZO MKUBWA TU WA KUKISHUGHULIKIA CHAMA CHENU, KAMA WALIVYOWASHUGHULIKIA MREMA WA CCM, MABERE MARANDO NA NCCR NA WENGINE WENGI TU HUKO NYUMA WALIOJARIBU KUTUDHALILISHA.
YU WAPI MREMA?
I WAPI NCCR AMBAYO WATU WALIDHANI INGEINGIA IKULU?
WEWE ZUBERI KABWE UNAFANYA NINI MUISLAMU ANAPODHALILISHWA?
NA MAKANISA NAYO MARA HII YAKO WAPI? MBONA YALIVAA JEZI ZA CHADEMA KULE ARUSHA BAADA YA MAUAJI?
AU HAKI NI ZA CHADEMA TU?
Mndengereko, Ukerewe
Watanzania wenzangu nafikiri tunazidi kupotea kutokana na tabia zetu za kutoangalia tatizo (root cause) na badale yake tunapenda kugeuza mambo hili kufunika kombe hili mwanaharamu apite. Tumeshuudia hivi karibuni watu wakimshambulia na kumlaani Bwana H. Lundenga na Kampuni ya Vodacom kwa kuendesha Mashindano ya Miss Tanzania wakati tukiwa na msiba wa ndugu zetu waliokufa ajalini kule Zanzibar.Badala ya kuwaalaani Sumatra,Captain wa Meli na wengine wote waliohusika katika hufedhuli na uzembe mkubwa uliosababisha ajali hile.Hivyo hivyo katika sakata la Igunga tunarukia suala la udini wakati jambo lenyewe ni la kisiasa, utovu wa nidhamu/kiuni na ni uvunjwaji wa sheria.
ReplyDeleteYule mama yetu kama alikuka maadili basi alipaswa ahukumiwe kwa mujibu wa sheria na sio hule uhuni. Lakini Pia Kuwa kwake muislamu na kuvaa ijabu kama aitakuwa ndio kinga ya mtu au watu kuvunja sheria. Tuwe na busara zaidi badala ya kuwa na mambo na vijisababu ambavyo havina msingi kabisa. Hii nchi aiongozwi kwa mujibu wa dini fulani bali kwa mujibu wa sheria.
Michuzi unaudhi sana unavyobania maoni yanayokuwa against CCM. Kama hii blog umeamua iwe ya CCM basi utueleze tuelewe moja kuwa hii blog ni anti-chadema. &*%#^@*&$#.
ReplyDeleteNakubaliana na Abdlah Mashiku wa Tue Sep 20, 08:52:00 AM 2011. Ni kweli suala hili si la kidini bali ni la kisiasa. Kuna washamba hudhani ukinzani wa SISIEMU na CHADEMA ni wa dini mbili tofauti. Hovyoooo!! Lazima mtu ajue yupo kwenye mazingira gani: Kwenye siasa utaongelea CCM, CHADEMA, CUF etc. Kenye dini utaongelea UISLAM, UKRISTU, UPAGANI etc. Kwenye michezo(soccer) utakuta SIMBA, YANGA, AZAM etc. Changieni mada kuhusiana na uwanda (field) husika!! Msiongelee dini wakati uwand ni wa siasa.
ReplyDeleteKwa kutetea maovu hawa viongozi wa chadema are hopeless... Hayo magwanda yanawadanganya kuwa wako juu ya sheria. Ngoja tusubiri hiyo kesi, na msubutu kumvua mama yangu hijabu...hapata kalika
ReplyDeleteHuyo aliyesema Gesti wanavua vilemba naonja anachanganyikiwa na hajatulia.... Iwapo mtu unaenda gesti na huyo rafiki yako... tayari hapo ni ridhaa zenu na mmekubaliana, (Consent)nyote. so Mh DC yeye hakuwa gesti pale, ama la unataka kututhibitishia kuwa Chadema walitaka kumbaka wakifikiri kama utaratibu wa gesti ulivyo..
ReplyDeleteAcha mawazo ya uzinzi fuata maadili ya dini na sheria inakutaka ufanye nini... umwogope Mungu. Clara