Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Tolly Mbwette, akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, ubani wa sh. mil 2,000,000/- taslim ikiwa ni rambirambi ya wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa wafiwa na waliookolewa katika ajili ya MV Spice Islander iliyotokea mwanzoni mwa mwezi huu.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Tolly Mbwette, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, alipomtembelea ofisini kwake Vuga, Zanzibar jana.


hongera sana Chuo kikuu huria kwa kuonyesha moyo wa upendo na faraja kwa wenzetu waliofiwa na ndugu zao. Mungu awasaidie na awape faraja tele. pongezi kwa prof. mbwette kwa uwakilishi wa Chuo kikuu huria.
ReplyDeletemdau wa OUT MTWARA centre