Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NTC ni vibaraka na wabaguzi dhidi ya watu weusi. Mungu awalaani NTC.

    ReplyDelete
  2. kaka issa tena hawa jamaa wanajiita wao ni waarabu sio waafrika ukifatilia kwa makin tayari wameshatuonyesha dalili mbaya kwa sie weusi,labda baadae waje wakalishwe chini na hao mabwana zao wajiite waafrika kwa sababu flan flan, lakin toka mwanzo tulishawajua, pili kaka when gaddaf akitoa msaada kwa maskin pia hata AU wamekuwa hiyo imekua mbiu yao kuu kwenye mapigano yao eti anatumia pesa za walibya kwa watu wasio na faida kwao, lakin tukumbuke huyu gadafi hata uombozi south africa aliwapa pesa ANC , mengi tu kafanya huyu bwana kwa waafrika ila kwa sasa nafasi ndogo leo, na wao waje tuone watatufanyia nini sie maskin wa waafrika. kiuweli laana naioa karibu kabsa juu yao.
    kukaa kwenye madaraka mda mrefu hiyo issue nyingine na ina procedure zake, tena tukumbuke aliwaita mwanzo kabisa waje waongee lakin si walikataa kuja, lakin ulishakuwa mpango kamambe umeshapangwa wakumtoa, huku kisingizio amekaa sana. ndugu zangu white man anapenda week man ili akutumie vema, na ana hila za kila hali kukuset mpaka ukaingia kwenye laini yake, tuwe makin sana kwenye fikra na upembuzi kwa makin
    mdau jp.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...