MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA AKIWA KATIKA STUDIO ZA VOICE OF AMERICA WAKATI AKIHOJIWA NA MTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI KUHUSU ONYESHO LA MAVAZI LINALO FANYIKA KESHO HUKO WASHINGTON DC KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA,SHEREHE HIZO ZINAAMBATANA NA KONGAMANO LA DICOTA 2011

ALIWATAJA WABUNIFU AMBAO KAZI ZAO ZITAONYESHWA KATIKA TUKIO HILO LA KIHISTORIA NI FARHA SULTAN,ZAMDA GEORGE,GABRIEL MOLLEL,BINTI AFRIKA,JAMILA SWAI, MUSTAFA HASSANALI PAMOJA NA YEYE MWENYEWE,KHADIJA MWANAMBOKA

ONYESHO LA MAVAZI LITAFUNGULIWA NA BALOZI WA TANZANIA MITINDO HOUSE MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...