WanaCCM na Watanzania wote Manchester na Vitongoji vyake mnakaribishwa kwenye get together bbq ya kufunga summer itakayofanyika J'pili tarehe 11 mwezi wa 9 saa 8 mchana Mr Kawonga's place 430 Crompton way. Bolton.Bl2 3AJ. karibuni sana. 
Kwa habari zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:
07930837629
 07404741059
Asanteni sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...