Balozi wetu wa kudumu Umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh Mwanaidi Sinare-Maajar wakiwa wenye furaha baada ya kufanikisha ziara ya Rais Jakaya Kikwete iliyohusika na kuhudhuria Mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa na mkutano wa Diaspora Council of Tanzanian in America (DICOTA jijini New York na Marekani.
Home
Unlabelled
mabalozi wetu shupavu marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...