Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na baadhi ya wafanyakazi wa hoteli ya Jumeirah Essex House jijini New York wakati akiondoka leo asubuhi kuelekea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake iliyofana sana. ikihusu kuhutubia Mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa na kuhudhuria mkutano wa Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA CONVENTION 2011) huko Virginia, Washington.
Home
Unlabelled
Rais Kikwete aondoka New York kurejea nyumbani leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...