Balozi wa Burundi nchini Misri akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.Wengi wamejitokeza kusaini kitabu cha maombolezo kwenye Ubalozi wa Tanzania Cairo kufuatia ajali iliyotokea Zanzibar
Balozi wa Congo Brazzaville akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Balozi wa Namibia,Cairo akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Balozi wa Zimbabwe nchini Misri akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Mmoja wa Watanznia waishio nchini Misri akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Mwakilishi Wa DRC,Cairo nchini Misri akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Mwakilishi Wa Ubalozi wa Malawi,Cairo nchini Misri,akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Mwakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje Misri akisaini kwenye kitabu cha Maombolezo ya waliopata ajali ya meli ya mv. Spice Islander iliyotokea hivi karibuni huko Zanzibar.
Jamani hata balozi nazo zinakosa umakini. Hii picha ya meli inayoonekana imezama (ya bluu) tulishaambiwa kuwa si ya MV Spicer Islander, inashangaza hawa jamaa wa ubalozi hawajalitambua hilo.
ReplyDeleteIsitoshe, hata TBC nao wanaendelea kuitumia hiyo picha.
Ni aibu kwa kweli.....
Kosa la Michuzi hilo anaweka picha sizo matokeo yake kila mtu anamnukuliwa yeye.
ReplyDeleteankali umemeza comment yangu wala haikuhusu uchafuaji wa hali ya hewa hata kidogo
ReplyDeletekweli nimeamini ankali wakati mwingine una matatizo binafsi sasa nini maana ya globu ja jamii? hii ni globu ya jamii au globu ya famili?
sometimes unanichafua ile mbaya