Sensei Kaliboti ni Mtanzania aneishi nchi Australia akifanya kazi ya ualimu wa sanaa za mapambano.
Blog yetu ilipata bahati kufanya mahojiano nae, zaidi tulimuomba atupe maelezo machache kuhusu yeye na libeneke zima la sanaa ya mapambano.
Sensei Kaliboti ni mmoja wa wataalamu na hazina ya Taifa letu kama tukiweza kuwatumia wataalam kama hawa basi naamini ndoto zetu za kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa na kufanya vizuri inawezekana.
Gonga hapa WABONGO UGHAIBUNI kupata muhtasari kuhusu Mtaalam huyu.



Huyo Sensei Kaliboti mie nambonda, kama anabisha mwambie aje aone.
ReplyDeletewe check nae Kalibot katika face book uombe round nae...hata hivyo mwezi ujao atakuja Dar kama upo tuwasiliane nataka kuwa shahidi
ReplyDelete