Familia ya Mr and Mrs Biseko na Faress Magesa ya Berien Spring Michigan, USA, na Tanzania, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao, Dr. Isarael Magesa (pichani), kilichotokea Niles Michigan, Siku ya Alhamis, September 15, 2011. Marehemu ameacha watoto watatu:Biseko, Rehema na Fares pamoja na wajukuu wanne:Deborah, Sam, Emmanuel na Helina
Tafadhali tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kuweza kufanikisha kumpumzisha baba yetu katika nyumba yake ya milele.
Account maalum ni kama ufuatayo:-
Email: magesa@yahoo.com
Mwenyezi Mungu awabariki wote.
Poleni wafiwa wa Dr Magesa. Wakati umefika kwa watu kama hawa kujiwekea "Funeral Insurance", maana ni aibu Doctor mzima wa Ughaibuni hana $10,000 za kuzikia!!
ReplyDeleteWanataka kuchangiwa kwa sababu na wao pia huchangia watu wengine wakiwa na shida lakini sidhani kama kundi lote hilo hapo juu la familia wanashindwa kuchukua overdraft ya $1000 kila mtu wakamzika baba yao. Haya nyie wamarekani wachangieni wenzenu, mkichanga japo $20 kila mmoja wenu mlivyo wengi hamtakosa hizo pesa sio kila siku kuchangia siasa na maandamano!
ReplyDeleteWe anonynous wa kwanza hauna upeo kabisa. Unatoa kashfa kwa mtu aliyefariki? Hii ni dharau kubwa sana. Je ulikuwa unajua mchango wake kwa familia na jamii wakati wa uhai wake? Usitoe hukumu ya maisha ya mtu sembuse mtu usiyemfahamu na ni marehemu (you insensitive *******). Poleni sana watoto wa marehemu pamoja n ndugu wengine; msijali wapuuzi hawa wenye maoni ya kejeli.
ReplyDelete