Prof Ali Mtanda na Mama Zam Zam Maalim Rashid wanawataarifu msiba wa mpendwa mtoto wao,Mina Said Omari uliotokea Jumatano Sept 21,2011 saa 4 usiku(10pm) Frederick Memorial Hospital,ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio,msiba upo

2425 Dunmore Ct,
Frederick,MD,21702

Inna Lilahi waina Ilaihi Rajiun.
God gives and God takes

Maziko ni Ijumaa Sept 23,2011 baada ya swala ya Ijumaa Saa 6 mchana(12 noon)
Islamic Society Of Frederick,
1250 Key Parkway,
Frederick,MD,21702

Address ya makaburini ni
Alfirdaus Memorial Gardens
3845 New Design Rd
Frederick,MD,21703

Hitma ni Jumapili Sept 25,2011
mahali itakapofanyika tutawataarifu baadae

Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Margret Waheeda 301 915 5821
Quizellah Ntagazwa 240 602 5011
Mayor Mlima 301 806 8467
Aziza Farahani 301 979 2471
Home phone 240 654 5010

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Jamani da Minah hata sitaki kuskia naona kama ndoto... kweli dunia ina mwisho jamani. Innah Lillah wa Innah lillah rajuun... You were such a beautiful soul..

    ReplyDelete
  2. jamani...masikini mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi

    ReplyDelete
  3. poleni sana wafiwa, Mungu awape nguvu mweze kumwombea Mina mahali pema peponi, amina

    ReplyDelete
  4. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu katika ile raha ya milele.
    Amen RIP Mina my former classmate at High School.

    ReplyDelete
  5. Poleni sana familia ya Prof.Matanda. Nimependa tangazo lenu halina maombi ya michango kama tulivyozoeshwa. Inshaalah mola amrehemu dada yetu Mina. Inna Lilahi Waina Hilahi Rajiun

    ReplyDelete
  6. RIP Mina, so sad kutuacha,tutakukumbuka always.

    ReplyDelete
  7. Innalilah wainna rajun, poleni sana wafiwa wote na ishallah mwenyezi mungu amsamehe makosa yake marehemu na amjaalie pepo yake aloiandaa kwa waja wake wema amin

    na awape subra na nguvu wafiwa katika msiba huu mzito kwenu amin

    ReplyDelete
  8. poleni sana wafiwa mola hamsamehe amuhufirie na hadhabu za kaburi ampekauli thabit kwa usiku wake wa kwanza kaburini ameen rabil alamin.kutoka toronto.

    ReplyDelete
  9. Jamani Mina umri mdogo huu umetutoka.Ni miaka mingi tangu nikuone mara ya mwisho, more than 10 yrs in India lakini nilivyoona hii picha wala hujabadilika.Mungu akulaze mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  10. INNA LILAHI WAINNA ILAIHI RAJIUN...May her soul rest in Peace inshaallah!!Ameen

    ReplyDelete
  11. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. MINA KATANGULIA, KAACHA MABIBI NA BABA NA MAMA. MWENYE ENZI AJAALIE APOKEE KITABU CHAKE KWA MKONO WA KULIA NA AMPE KAULI THABIT MBELE YA MUNKAR WA NAKIR. VIJANA SOTE TUKUMBUKUBE KUNA SIKU YATATUFIKA HAYA. HIVYO JAMANI SALA NA DUA TUSIWACHE, NA HATA KAMA TUKO HUKU MAREKANI TUSISAHAU UTAMADUNI WETU WA KUJISTIRI MIILI YETU NA VICHWA VYETU. ANAKWENDA MDOGO, MKUBWA NA HATA MCHANGA ALIEZALIWA LEO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...