Prof Ali Mtanda na Mama Zam Zam Maalim Rashid wanawataarifu msiba wa mpendwa mtoto wao,Mina Said Omari uliotokea Jumatano Sept 21,2011 saa 4 usiku(10pm) Frederick Memorial Hospital,ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio,msiba upo
2425 Dunmore Ct,
Frederick,MD,21702
Inna Lilahi waina Ilaihi Rajiun.
God gives and God takes
Maziko ni Ijumaa Sept 23,2011 baada ya swala ya Ijumaa Saa 6 mchana(12 noon)
Islamic Society Of Frederick,
1250 Key Parkway,
Frederick,MD,21702
Address ya makaburini ni
Alfirdaus Memorial Gardens
3845 New Design Rd
Frederick,MD,21703
Hitma ni Jumapili Sept 25,2011
mahali itakapofanyika tutawataarifu baadae
Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Margret Waheeda 301 915 5821
Quizellah Ntagazwa 240 602 5011
Mayor Mlima 301 806 8467
Aziza Farahani 301 979 2471
Home phone 240 654 5010
Jamani da Minah hata sitaki kuskia naona kama ndoto... kweli dunia ina mwisho jamani. Innah Lillah wa Innah lillah rajuun... You were such a beautiful soul..
ReplyDeletejamani...masikini mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
ReplyDeletepoleni sana wafiwa, Mungu awape nguvu mweze kumwombea Mina mahali pema peponi, amina
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu katika ile raha ya milele.
ReplyDeleteAmen RIP Mina my former classmate at High School.
Poleni sana familia ya Prof.Matanda. Nimependa tangazo lenu halina maombi ya michango kama tulivyozoeshwa. Inshaalah mola amrehemu dada yetu Mina. Inna Lilahi Waina Hilahi Rajiun
ReplyDeleteRIP Mina, so sad kutuacha,tutakukumbuka always.
ReplyDeleteInnalilah wainna rajun, poleni sana wafiwa wote na ishallah mwenyezi mungu amsamehe makosa yake marehemu na amjaalie pepo yake aloiandaa kwa waja wake wema amin
ReplyDeletena awape subra na nguvu wafiwa katika msiba huu mzito kwenu amin
poleni sana wafiwa mola hamsamehe amuhufirie na hadhabu za kaburi ampekauli thabit kwa usiku wake wa kwanza kaburini ameen rabil alamin.kutoka toronto.
ReplyDeleteJamani Mina umri mdogo huu umetutoka.Ni miaka mingi tangu nikuone mara ya mwisho, more than 10 yrs in India lakini nilivyoona hii picha wala hujabadilika.Mungu akulaze mahali pema peponi.
ReplyDeleteINNA LILAHI WAINNA ILAIHI RAJIUN...May her soul rest in Peace inshaallah!!Ameen
ReplyDeleteRIP Mina
ReplyDeleteKILA NAFSI ITAONJA MAUTI. MINA KATANGULIA, KAACHA MABIBI NA BABA NA MAMA. MWENYE ENZI AJAALIE APOKEE KITABU CHAKE KWA MKONO WA KULIA NA AMPE KAULI THABIT MBELE YA MUNKAR WA NAKIR. VIJANA SOTE TUKUMBUKUBE KUNA SIKU YATATUFIKA HAYA. HIVYO JAMANI SALA NA DUA TUSIWACHE, NA HATA KAMA TUKO HUKU MAREKANI TUSISAHAU UTAMADUNI WETU WA KUJISTIRI MIILI YETU NA VICHWA VYETU. ANAKWENDA MDOGO, MKUBWA NA HATA MCHANGA ALIEZALIWA LEO.
ReplyDelete