Hivi ndivyo kionekanavyo Kituo kipya cha kupima mizigo mizito kwenye magari ma kubwa (MIZANI) kilichopo nje kidogo ya mji wa Chalinze,mkoani Pwani kama unaelekea Segera.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani au macho yangu, mbona hiyo sehemu inaonekana pana mteremko mkali,kweli patafaa kwa kazi hiyo au mnatuandalia ajali tu.hivi huyo mtaalamu aliyeshauri pajengwe alitumia taaluma yake au ndo walewale wanaopokelea vyeti chini ya miembe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...